MAZENGO MICROBUSINESS SUPPORT ni kampuni inayo lenga kusaidia wajasiria mali wadogo katika dharura zao za kibiashara na kifedha kwa kuwapa miongozo na kuwasaidia mikopo ya haraka inayowawezasha kutatua dharura zao katika biashara zao. Mfanyabiashara yeyote hupata msaada huo kwa haraka ili aweze kwenda kutatua tatizo lake la dharura.
Aidha tunatoa Fedha ya dharura kwa yeyote mwenyetatizolinalohitaji fedha kwa
haraka(Emmegernce)
Aidha tunatoa Fedha ya dharura kwa yeyote mwenyetatizolinalohitaji fedha kwa
haraka(Emmegernce)