A)MASHARTI YA
KUCHUKUA MKOPO
1.Uwe na picha mbili(passpot size)
2.Uwe na kitambulisho na Barua kutoka Serkali ya mtaa.
3.Uwe na dhamana yenye thamani mara mbili ya fedha
unayokopa(200%)
4.Uwe na shahidi mmoja.
5.Uwe na Tsh.2000 kwa huduma ya
mkopo.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.